Profile PictureShukuru Amos

Mbele Ya Muda

$11
0 ratings

Unatafuta Kazi, Au Kazi Zinakutafuta?

Tengeneza JINA lenye hadhi Mtandaoni. Sahau kuhusu shida za kutafuta fursa za Ajira au Biashara bila mafanikio. Mbele Ya Muda ni kitabu kitakachokuweka MBELE Kiujuzi na Maarifa ya Kidigitali yenye kuleta PESA na Uhuru.


Hebu Fikiria Upo Kwenye Stage Hii:

Huna wasiwasi juu ya wapi na namna gani utapata mteja, (au kazi).

Unapata meseji (qualified leads) 4-9 kwa wiki za watu ambao wako interested kufanya kazi nawewe.

Uko vizuri kwenye kushawishi mkikutana au kwenye simu.

Watu ni wengi kuliko unavyoweza ku-handle.

Huna tena habari za kuandaa CV, kujitolea au kwenda kuongeza mastaz.

Unafanya kazi ukiwa nyumbani au popote. Foleni za Jiji tena basii.

Hayo yote yanawezekana. Mimi niko kwenye hii stage sasa.

UNAANZAJE? Ni kweli Mitandao Inalipa?

Majibu, Maujuzi na Maujanja YOTE Utayapata ndani ya kitabu hiki.



Mbele Ya Muda ni kitabu chenye MADINI yatakuyokufanya ujione ULICHELEWA kuanza kufaidika na NGUVU ya Mtandao.

Utafahamu jinsi nimekuza brand yangu hadi kuwa marketer Mtanzania mwenye followers wengi zaidi kwenye mtandao wa LinkedIn (35,400+ Followers). Utajifunza Personal Branding, Uandishi na Uwasilishaji unaoleta Pesa. Pia utajifunza kuhusu Biashara Mtandaoni, Saikolojia ya Maudhui. Mengine siwezi kuyasema hadharani kwa sababu yana ukakasi kidogo lakini ndiyo siri ya mafanikio mtandaoni.

Mimi Sitafuti Kazi. Kazi Zinakuja DM Kwangu 👇🏽👇🏽



Add to cart

Kama kupost unapost sana tu lakini hadhi ya jina bado DHAIFU na Hauwezi Kuuza. Unakosea wapi? Gundua SAIKOLOJIA ya maudhui yenye kuleta Pesa na KUHESHIMISHA jina mtandaoni.

Pages
125
Size
1.36 MB
Length
132 pages
Copy product URL
$11

Mbele Ya Muda

0 ratings
Add to cart