Tengeneza LinkedIn Profile MWANZO MWISHO
$5.90
$5.90
https://schema.org/InStock
usd
Shukuru Amos
Umechoka kuchukuliwa POA mtandaoni? Anza kwa kutengeneza Profile yenye Hadhi kwenye mtandao wa LinkedIn au X. Epuka kujiwasilisha kizembe na Profile zenye makosa au zisizo na ushawishi. Hakuna atakaye kuchukulia serious na UTAKOSA Wateja au Mwajiri.
Tumia Mwongozo huu wenye kurasa 34 tu upate maelekezo kwa MIFANO jinsi ya kutengeneza Profile BORA Mwanzo Mwisho.
Mwongozo huu nimekuandalia mimi, Shukuru Amos ambaye ni the most followed Tanzania marketer on LinkedIn. LEO Ndiyo LEO, habari ya kuwa na profile inayokushusha hadhi tunaenda kuiondoa. Chukua mwongozo wako chap ubadili Profile yako kuwa SUMAKU ya Fursa.
Pages
34
Size
2.72 MB
Length
34 pages
Add to wishlist